Wenger bado yupo sana
HahahahahaCole Williams Usiwe una niita kibaka kuna kabinti nakafukuzia humu mkuu
ButHahahaha
kuna mashabiki wa arsenal ambao wametimkia chelsea,man city na sasa wanatuponda kweli kweli.
Na kuna wengine bado tumo sana tu tukiwa na imani kama shabiki wa liver ambae toka jina la ligi lilivobadilika mwaka 92 hajawahi kuchukua hilo kombe
karibu tugonge 'likes
18 Division titleBut
18 EPL titles
5 champion leage titles
No please