ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Wewe unadhani timu hiyo ina malengo yapi katika ligi?Kumbe wewe gunners
Hahahahaha balaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dalali kamuuzia msikiti mmasai huko ikwiriri anadai ni nyumba yake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RAAMUN RA
Tatizo Mwenyekiti mtu akigusa profile yako occupation Umeandika KIBAKA. ndo mana mimi naita hivyohapa kazi tuu...
hapa kazi tuu...
DahWewe unadhani timu hiyo ina malengo yapi katika ligi?
Ina nini cha kujivunia kwa sasa?
Je kocha Wenger ana nini cha kuifanyia timu kwa sasa?
Je kocha ana utaalamu ambao hajauonesha kwenye timu mpaka sasa?
Je ni kweli ana nia nzuri na timu hoyo kwa sasa?
Sasa Arsenal ipo kituo cha basi kwa safari ya kwenda kokote ambako basi litakuwa linaenda.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha aisee Chelsea ya Zola ,de Mateo ,Guilt ,Enzi hizo Chelsea ina kuwa na mchezaji mmoja tu wa England. New castle ndio ilikuwa na nguvu dhidi ya Man,Arsenal na Liver. Naikumbuka sana Bolton na West ham
Mchina umeanza ushilawadu liniMbona chuki rafiki?
Nisingechangamka na kumpa taarifa Andjul wewe na nsamaka hamkuwa mnaelekea kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app