Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Naaaam shekhBob12
CantstopwontStop
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Uongo hauna nafasi kwenye uslam. Hivyo unachojaribu kukifanya hapa ni karaha ambayo nayo haina nafasi.Acha uongo.
Waislamu wa kweli Wana mikeka tu. Ndiyo wenye staha kuliko hata hao waliojaza misofa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RAMama TANZANIA
Ndiyo maana wanaongoza kwa kuwa na furaha duniani. Mfungwa anaishi vizuri gerezani kuliko mfanyakazi wa Bongo.Jama jama
fantastic
Yaplengo la huu uzi ni ku 'likes
Kwa haya unayojaribu kuyafanya hapa unaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa diniAcha uongo.
Waislamu wa kweli Wana mikeka tu. Ndiyo wenye staha kuliko hata hao waliojaza misofa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaDah
siamini kama uwepo wangu unaleta negative impact!
Itabidi nihamie makapuku tu niwaache huru humu😉😉
Far miles away brotherNdiyo maana wanaongoza kwa kuwa na furaha duniani. Mfungwa anaishi vizuri gerezani kuliko mfanyakazi wa Bongo.
Rushwa wamekaribia kuikomesha kabisa sema tu kodi zao ndo kiboko.
amekuja na lugha ya ajabuKwa haya unayojaribu kuyafanya hapa unaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Possible[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Post, like. Hakuna ukabila, siasa wala udinituangalia malengo yetu