Pius Lumbanga
Member
- Aug 11, 2016
- 5
- 10
Duu
Mwenyekiti wewe Kiboko lakini sio mambanalala baa boss pesa za hivo huwezi fanyia kitu
Kutoboa nini tena ?Unataka kutoboa kabisa
Asante mkuu kwa kutuwakirisha vyema ktk utoaji jibu lipaswalo.Na hao uwasemao kuwa waislam wa kweli, tafuta jukwaa kingine ukafanye nao shuraa, hapa siyo mahali pake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa sadolin
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unapumba nyingi mpaka unajihisi umezaliwa na mchele
CantstopwontStop
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Moja ya faida ya mlonge ni energetic food/drink/fruit/vegetable inasaidia kuondoa uchovu(fatique) na kukufanya uwe active especially kama una safari za hapa na pale au kazi nyingi,sema wabongo ukitaja mlonge wanakuogopa😎😎
HahahahaBwana yupi
Baba Viv. Ni wewe? Utani ukikuelemea sema mkuu. Nothing serious mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah
siamini kama uwepo wangu unaleta negative impact!
Itabidi nihamie makapuku tu niwaache huru humu😉😉
Naught by nature