myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
pia huo ndio ukuta wa gereze(dunia), huwezi kuvuka hapo hivihivi'Kasayari ketu kazuri. Hako kalayer kadogo ka blue kanakong'ara ndiko kanatuwezesha tuweze kupumua na kuishi. Na Mungu akakawekea mlinzi imara (Earth's Magnetic field) ili kasikwanguliwe na nguvu za mnunurisho (radiation) kutoka kwenye jua. Maajabu ya uumbaji !!!