Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfalme wa barabara za Afrika. Ninayo ya mwaka 1996 nimeigeuza pikapu imezeeka balaa lakini inakata mitaa ya Usukumani vizuri tu. Ukiipeleka kwa fundi anakwambia injini bado nzima kabisa wewe fanya oil change tu. Basi unajaza matenga ya nyanya unavyotaka na samaki na inakupeleka unakotaka kwenda bila wasiwasi. Kwa hii, hasa zile za mwanzo mwanzo, Mjapan alicheza Pele kwa kweli !!!
Mojawapo ya gari bomba kabisa mjepu kutengeneza kwa rough road za afrika hii gari ni mfalme wa njia
 
IMG_3819.JPG
 
Back
Top Bottom