mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Soon nitakuwa MD Mungu akiniweka hai
Pole sana mkuu undugu ni kufaana sio kufananaKwa jinsi anavyo jali,hakika Mungu atamfikisha mbali sana.Akiuliza hali ya mgonjwa hadi unahisi mtu aliye kujulia ni mtu wa karibu sana kwenye familia.Carba na Shimba mkiniulizia hali baba,machozi yananitokaga sana,maana nina watu niliozaliwa nao ni zaidi ya mwaka hawajawahi kuulizia hali.Mbarikiwe sana
Inasemekana et jana ulifungiwa na malkia[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Usibishane na wakerewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muulize shimba anawajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we njoo tu halafu hiyo rada itakuwa mbovu hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et eeehUsibishane na wakerewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muulize shimba anawajua
AMUN RATunaishi kwa kutegemeana.Amina[emoji120]
AMUN RANeema zinakuja