myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Bado unahitajika sanaSawa jirani
YapYeremia 33:3
Hujajibu swali langu mzee wa iniAisee nipo singidani hapa mkuu
Imekuawaje?
Kamuharibu kweli mkaka wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] mapoudaa aliyempaka Mungu anamuona
Kiboko ya mabishoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkaushieni harmo michano bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni ninavyo vya zamani..siku Nina nafasi navipitiaZilikuwa nzuri kuna kipindi niliona walitoa toleo jipya sema wame edit sana hakivutii tena
kiboko ya mabishoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkaushieni harmo michano bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia misele isijekukupiga wewe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uje na savanna[emoji38][emoji38]Ngoja nikapige misele kwanza nitarudi mida[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli..kiboko ya mabishoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiboko ya mabishoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi ashukuriwe Mwenye Enzi Mungu kwa HiloKinachonifurahisha zaidi katika hili janga kubwa la mafuriko kule Houston ni kuona watu wanavyosaidiana kuokoana bila kujali rangi zao. Mweusi anamuokoa mweupe na mweupe anamuokoa mweusi. HUMANITY AT ITS BEST! Mungu mkubwa na ashukuriwe sana.
Aiseeh hongera mi nilipata hiyo edition mpya nikaishia kukigawa tuNi ninavyo vya zamani..siku Nina nafasi navipitia
Poa za weweHabari