moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu, kitu rahisi zaidi kwenye mchezo wa soka ni kuvunja mkataba wa kocha. Kutokana na hilo, ndiyo maana kipengele hicho hupewa umuhimu wa kipekee na pande zote mbili wakati wa kuandaa mikataba ya makocha.Mkataba bado miaka miwili
Sent using Jamii Forums mobile app