Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji173] [emoji180] [emoji180]So this is who I am,
And this is all I know,
And I must choose to live,
For all that I can give,
The spark that makes the power grow
And I will stand for my dream if I can,
Symbol of my faith in who I am,
But you are my only,
And I must follow on the road that lies ahead,
And I won't let my heart control my head,
But you are my only
We don't say goodbye,
We don't say goodbye,
And I know what I've got to be
Immortality
I make my journey through eternity
I keep the memory of you and me inside[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Mnachaji simu???[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunachaji simu
Halafu huu ni utapeli baba viv ujue[emoji23][emoji23]
Vyuo vingi vimeshafungua. Andaeitini mwacheni apige shule jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegomasika,habari ya siku ya leo mkuu ?
Vitu vingine ni kujitakia tuHatujui hata kama kazi aliianza. Wakati mwingine mchecheto tu. Umefakamia milonge kwa lengo la kutoa shoo ya kibabe, bado unapanga dhana za mashambulizi kimoyo kinaamua kuzimika.
Bila shaka unayajua vizuri mambo haya. Madenti tu hapa walikuwa wanapukutika balaa wakichanganya Redbull na bia moja inaitwa Four Loko (ina caffeine ya kutosha na abv 8%). Mpaka wamewaamru watengenezaji waondoe hiyo caffeine na Redbull ziwekewe warnings hasa kwa watu wenye ishu za mioyo, BP n.k... Imagine mtu umegonga milonge (or whatever makes you dance longer), jibapa na mchecheto juu, halafu kumbe una katatizo ka moyo ambako hukajui, au BP, mbona usisalimu amri? I say shameful death !
Mke wa andjul ni wangu pia, maana ni rafiki yangu. kama anaweza kuniachia gari lake nitanulie mjini atashindwa vipi kuniachia nsamaka angalau kwa usiku mmoja? wee mchina vipi ? EBOUsitamani nyumba ya jirani yako,
Usitamani mke wa jirani yako!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Amina mkuu,hata Yesu alimponya mgonjwa kupitia imani ya ndugu zake.Hizi ni habari njema sana! Mungu wetu ni Mwema !!!
Nimeshapoa my nduguAhsante mkuu,pole nawe