Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nawaona mjue...
Ya dunia yanatufanya tupoteane bila kutarajiaNipo bro nikasema leo ngoja nikomae komae labda utatokea mida na kweli karibu sana Hapa kijijini
Ulikumbukwa pia.
CantstopwontStop
Nilikumiss pia ujue[emoji12][emoji12]
Nawaona mjue...
Mjomba nilisikia mara ya mwisho kaonekana sudan, sasa ndo najishauri nikamtafute huko huko au nisubirNdugu ndugu habari habari habari
Mjomba mjomba mjomba yupo
Nipo polini huku unajifanya umepasahau si kule wanapo share vipodoz na dada zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jibu swali basi,et unaishi wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moudgulf ni mtata tangu udogo wetu,ila huku nitamnyoosha,sitaonewa mara mbili.Pole sana maana huyu kijana wa tmk sijui analengo gani na zizi lako
Mbona una haraka hivyoHaya leta zawadi hizo msela wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe ni wa kule kule eehNipo polini huku unajifanya umepasahau si kule wanapo share vipodoz na dada zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]