Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

898b068dc702af753b5a016f76f0ac3d.jpg
No wonder I have a crazy sister
 
Kujikwinya hakufai.

Hilo nafahamu.

Ila sikuwahi fahamu ya kuwa inaweza kupelekea mpaka Umauti kukuchukua.

Kiongozi.

Ahsante kwa kunijulisha
Unachana vitu huko ndani. Au pengine unatumia nguvu nyingi mpaka una-rapture blood vessels sehemu nyeti. Mara nyingi ishu kama hizi kunakuwa na visababu sababu vingine vingi....
 
Kwa nini mkuu? Kujua maana ya maneno yaliyo katika bendera ya taifa italetaje mvutano? Anyway, kama ni sensitive sana kiasi cha kuamsha hisia za kidini basi achana nayo. Nita-google mkuu hakuna neno....
Mimi na wewe tunaweza kuwa na Nia njema ya Kufahamishana, lakini akatokea Mtu alipotokea akaharibu Uzi huu ambao hauendani kabisa na Mivutano.

Kwanini uende huko mbali kote Kiongozi!

Wakati tupo hapa kwa ajili ya kubadilishana mawili machache.

Kwa hisani yako, ngoja nikuwekee maana yake.

Shuka chini
 
Mtu mweusi ni brilliant
Lakini amelishwa uwoga na watu weupe
Hata huyu watasema ni mgonjwa. Kuna ugonjwa fulani hivi (nimesahau jina) unamfanya mtu awe na kumbukumbu ya ajabu. Mara nyingi ni autistic na ubongo wao umekuwa specialized kwenye eneo moja tu maalum. Inaweza kuwa hesabu (mtu anakariri mifomyula hata laki moja), matukio ya kihistoria au sura za watu. Kuna mmoja huyo walimwonyesha anatazama watu wanaingia muvi theatre anawauliza jina. Watu karibia 250 wakati wa kutoka wote akapatia majina yao....
 
Back
Top Bottom