HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Sio ukiamua kuwa Muislam.Haya si ndiyo maneno mtu unatamka ukiamua kuwa mwislamu?
Asante kwa tafsiri mkuu.
Kwa Muislam yoyote hiyo ni moja ya Nguzo za Imani za Kiislam/Uislam.
Yaani.
Kuamini ya kuwa, hakuna apasae Kuabudiwa kwa Haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, na pia kuamini pia Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu/Mjumbe wa Mwenyezi Mungu