Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya si ndiyo maneno mtu unatamka ukiamua kuwa mwislamu?

Asante kwa tafsiri mkuu.
Sio ukiamua kuwa Muislam.

Kwa Muislam yoyote hiyo ni moja ya Nguzo za Imani za Kiislam/Uislam.

Yaani.

Kuamini ya kuwa, hakuna apasae Kuabudiwa kwa Haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, na pia kuamini pia Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu/Mjumbe wa Mwenyezi Mungu
 
Nakuelewa mkuu. Atakayeleta ugomvi kwenye ishu kama hii huyo naye atakuwa na matatizo yake. Mbona watu wanaweka mambo kuhusu imani zao hapa na sijasikia mgogoro wo wote? Tusiogope sana mkuu ila naelewa sana hoja yako!!!
 
Hawa ndiyo huwa wanafadhaika kwenye daladala na kupiga mgalala. Mtu unakuwa na ukame wa aina gani mpaka unafikia hatua hii?
Ukimchunguza kiundani utagundua, huyu Kiumbe ana matatizo ya Kiakili hata kama kwa nje anaonekana amekamilika.

Mtu mwenye Akili zake Timamu katu hatoweza kuthubutu.

Hapana, sio Ukame Kiongozi.

Watu wa hivi wanasumbuliwa na Matatizo ya Kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…