Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wabongo movie huwa wanaaga hiviView attachment 577764
Safi... Ntaitoa kesho hiyo! [emoji3][emoji3]
Wabongo movie huwa wanaaga hiviView attachment 577764
Mimi na wewe kesi haijaisha,ni miaka mingi imepita ila bado inaniuma.Ulininyang'anya mbaby mkaree hatari,wewe mwenyewe mpenda misambwanda,unataka tuwekeane vielelezo ? Ngoja nije mjini tuliamshe la uso kwa uso[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo lako unapenda sana misambwanda kiasi hata ukitembea na mkeo shingo yako haitulizani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Demigod niaje mkuu
Halafu mnaniombea eti nutulie[emoji19] [emoji19] [emoji19] Kweli??Mke wa mtu wewe khaa[emoji23][emoji23]
Nipo vizuri kabisa,baadae nitakutumia SMS nikuelekeze.Niaje kwa upande wakoMzima lakini?
Habari ya huko?vipi hali ya mzee