Njoo hapa, mi mikalio wapi kwa wapiMimi na wewe kesi haijaisha,ni miaka mingi imepita ila bado inaniuma.Ulininyang'anya mbaby mkaree hatari,wewe mwenyewe mpenda misambwanda,unataka tuwekeane vielelezo ? Ngoja nije mjini tuliamshe la uso kwa uso[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaWe jamaa ukimuona nsamaka mwache apite, acha shobo na mali za watu, EBO?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kuna uzi mwingine umesukumiziwa huku. Watu wanajadili like zipi ni nzuri - za kike au za kiume? Ni shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]