[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ugali mlenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Chezea watu wa mbege weye na ndizi choma,lazima madini kama haya tuyapate
We unamtakii mema Bob12 sio kwa kumchanga na wazee, nina uhakika akipewa Busha na wewe utamkimbiaHahaha yaan we acha tu, lkn hawataweza.
Hahahha komaa nao,pambana na hali yako. Hawakujui hawa.Hahahaha
hapa nina tank la petrol,pipa la njiti,AK-47 chumba kizima,mabomu hata idadi hayana,halafu kumbuka bado sijatoka liwale,nitapitia ngende kujiimarisha zaidi,andjul anapajua ngende
HahahahaSio vizuri hivyo we unampambanisha na wazee wenye nguvu za ziada akipata Busha je na we si utamkimbia
CantstopwontStop
unafikiri kwa haya madini kwa nini viv asikupende,nitakupa siku siku mbili ukae nae
Sio bure apimwe mkojo like ni likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona kuna uzi mwingine umesukumiziwa huku. Watu wanajadili like zipi ni nzuri - za kike au za kiume? Ni shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]