Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti ni baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastiki huko Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
b4dfb208628f2d8a030ca662100c6419.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miaka kama 10 iliyopita nilienda kijiji furani mkoani morogoro ambacho kipo kando kando ya mto ruvu, wenyeji walinionyesha baba ambaye alisemekana kwenye koti lake ana mijusi ambayo akiitupa mtoni hugeuka mamba wakubwa na kuanza kushambulia watu ambao amewalenga[emoji2] ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikosea njia alitakiwa kuishi Ukerewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom