Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nsamaka yupo ataona huu ujumbeNaomba uwafikishie ujumbe andjul,moud na nsamaka kuwa baba viv anapambana na hali yake na viv,wao siwawezi kabisa.
CantstopwontStop
Nsamaka yupo ataona huu ujumbeNaomba uwafikishie ujumbe andjul,moud na nsamaka kuwa baba viv anapambana na hali yake na viv,wao siwawezi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchina ni mkibiti sio mmbeyaShemelaa wa ukweli, sogea tunong'one, yule mchina chaumbea leo hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha yaan ni balaahahahahah
halafu unacheka
Yaan wataandamana ili huu uzi ufutwe.Kwema?
naomba haya mazungumzo yasiwafikie andjul na moud
sasa hivi ndiyo namwambia hapa hao wazee wa pwani wakinituliza na hiyo mishipa yao atahusika kumlea viv hadi awe binti boraNsamaka yupo ataona huu ujumbe
CantstopwontStop
hunitakii mema weweHahahhaha yaan ni balaa
Hahahah pole yake, kawaogopa hao wahengaNsamaka yupo ataona huu ujumbe
CantstopwontStop
Jokes mkuu hakuna hayo mambo Siku hiziMamba wa mazingira? Mazingara!? Au wale ambao wajuaji huishi nao na kutembea nao. Yani akiamua anakutumia ziwani ukaseme naye[emoji2] [emoji2] [emoji2] poleni mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini yasiwafikie?Kwema?
naomba haya mazungumzo yasiwafikie andjul na moud
Bob vipi kwani? Ulipigwa mikwara nn?sasa hivi ndiyo namwambia hapa hao wazee wa pwani wakinituliza na hiyo mishipa yao atahusika kumlea viv hadi awe binti bora
Dhambi ya ubaguzi kuisha America ni ndoto naoanaUnajua. New Orleans wamejaa weusi. Na inasemekana ndiyo mji unaoongoza kwa uchawi Marekani (Vodoo). Ulipopigwa na Katrina mpaka wahubiri wa kihafidhina walianza kusema ilikuwa ni adhabu ya Mungu. Na wabaguzi wa rangi wakawa wanasema kuwa Mungu Alikuwa ameamua kuisafisha Amerika. Sasa vu bin vu kimbunga kimetua Texas kwa wazungu wahafidhina wa kiRepublican. Sasa nao sijui wanaadhibiwa kwa kosa gani...
Imenyesha mvua futi 50+ kwa siku nne mfululizo. Kimsingi ni gharika. Trump kaahidi mabilioni ya dola kuwasaidia na shughuli za uokozi ni bora siyo kama zile za wale masikini wa New Orleans!
Ha wahenga kwani wamekufanyaje?hunitakii mema wewe
Umekuwa mpole ghafla,nahisi ushapigwa mkwara wa hatari ww sio bure.heeeee
uzi ufutwe?
kwa nini?
hivi umeona hiyo mikwara niliyopigwa mchana?Ha wahenga kwani wamekufanyaje?