Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mambo vipi mkuu
We waache wajichanganye tuHahahha komaa nao,pambana na hali yako. Hawakujui hawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] arsenal wameleta mapinduzi ya lughaUkiwa kwenye ndoa halaf mkeo akakuambia baba nanii leo ni mwendo wa ARSENAL ujue anamaanisha LEO HUPATI KITU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji23][emoji23]
Niko nae damu damu yaan kwenye shida na rahaWe unamtakii mema Bob12 sio kwa kumchanga na wazee, nina uhakika akipewa Busha na wewe utamkimbia
CantstopwontStop
Sio mikwara Bob12 wazee hawa hawafaiYani hii mikwara niliyopigwa,naona viv wangu atapashida katika malezi
hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ugali mlenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
hahahahaSio mikwara Bob12 wazee hawa hawafai
CantstopwontStop