Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kwema mkuu? Hujapata japo rasha rasha za Harvey huko uliko?
Kwema huku mkuu! Hii Harvey imeleta balaa, imeng'ang'ania haitaki kuondoka. Umeisikia hii?
Nation’s largest oil refinery in Port Arthur, Texas, is shutting down due to flood conditions from Hurricane Harvey