Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Bei ya petroli bila shaka itapanda. Tayari hapa nilipo bei imeshapanda kutoka $2:08/gallon juzi mpaka $2:25/gallon leo hii. Wanasema pengine itafika mpaka $3:50 kabla bei haijaanza kushuka tena. Gharika ile ni shida!!!
Hapa tayari bei ya gas imeshafika $2:35/gallon. Mpaka huo mtambo uje kuwashwa inaweza fika $4:00 kabisa! Yaleyale ya kipindi kile!