Naona leo umeniwekea mbinu umenikimbia sijuo nitaota nini leo[emoji22] [emoji22] [emoji22]KK niliona kivuli chake mitaa flani hivi asubuhi naimani wataonekana wote yeye na mzee wa tukuyu...
[emoji23][emoji23][emoji23]wasipokuwepo mwenyewe namiss kuparurana nao
Tulikuulizia sana. Wewe na bilionea wa Tukuyu. Bahati mbaya umefika kumbe keshatoka. Kwema lakini?Naona leo umeniwekea mbinu umenikimbia sijuo nitaota nini leo[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Binadamu mbwembwe nyingi tu lakini hakuna lolote la maana !!!
We dogo umeanza kuwa kuku unalala saivi.Usiku mwema
JovithaKichwa kichafu[emoji8]
Pamoja mkuuAsante sana thank you so much