Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha
kweli kupenda ni upofu
hongera asumani mawenge(new gunner) kuwa na waifu mwenye chura
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe hangaika kumtafutia Viv mamake wa kambo malaika asiye na kasoro. Kama hivi vidole tu vya waifu vimekukinaisha namna hii (japo mi sichoki kuvinyonya na kuvimasaji), sijui huwa unajisikiaje ukiwaona dada zetu wa huko vijijini wakulima wenye masagamba na miguu iliyokakawana. You sound kind of shallow to me sir...(pun intended)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_2017-08-31-19-03-06.png
 
Back
Top Bottom