Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilirudi humu ndo nikakuta ujumbe wako nikahangaika kukisaka tena ila nilichokikuta mtaa ule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikajua ulikuwa unabembelezwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo niliyokutana nayo kule we acha tu nilikutana na fuso hilo ikanibidi nikimbie tu maana nilikuwa nimevurugwa kukosa huku. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…