Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!ila si ujinga ujue..ufahari ya kutibu familia zenu upo sana tu ila kumbuka na wao wanafamilia zao na wanatakiwa wapewe stahiki zao,kumbuka madaktari hawafanyi kazi zile 8hrs za kawaida wanaingia call na kufanya kazi muda wa ziada na hawapumziki,kuna baadhi ya settings wanafanya kazi na huu ni mwaka wa 2 unaemda wa3 hawajapewa posho ya oncall na mshahara wwnyewe ovyo kabisa...hizo nchi ambazo si afrika wanawathamini na kuwajali ila afrika ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui nimeongea nini uuuwiiii pata like jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hii topic hii.
Acha nikanywe maji halafu nije tufanye CNN hard talk
 
Back
Top Bottom