Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q748
Wewe tena unadhani nitashindwa kwenda kuja huko ni kazi rahisi zaidi hata ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.Ukiweza kuja porini huku basi itakuwa shangwe
Kanivunja maini kwakweli..Kumbuka tulivyo jishusha kwa malkia,carba,hivi kweli anakuja na kauli nyepesi hivi? Au haamini kama ameruhusiwa?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Umeanza kuwa mwanasiasa ww mbona kujitetea hakuishiTatizo bado niko porini,ningekuwa town ningetoa mualiko kwa wote humu
Mimi hapa najisajili kwako,waseme lingine tenaCarba nina team mimi??hebu waje niwaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia umefanikiwa kuvunja lile zizi[emoji23][emoji23]
The needIsidingo
Basi njoo[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tena unadhani nitashindwa kwenda kuja huko ni kazi rahisi zaidi hata ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tension imekua kubwa halafu yule mtoto wa tandale ndo ameyataka yote haya yatokee,alidhani anamkomoa mwenzake kumbe ndo anampiga teke aangukie kwenye shimo la dhahabuHata mimi nashangaa kwanini imekuwa hivo.....maana wimbo wenyewe binafsi haujanivutia
Hivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tuBreaking:Madakatari kote nchini Kongo wameendeleza mgomo wao ambapo hivi sasa hakuna hata huduma ya dharura. Wauguzi pekee ndio wameonekana kwenye hospitali za umma ambazo hazipokei tena wagonjwa wapya. Hali hiyo imeasababisha vifo vya zaidi ya watu sita kwenye moja wapo ya hospitali mjini Kinshasa. Madakatari wameomba nyongeza za mishahara kufuatia kuporomoka kwa thamani ya faranga za Kongo ukilinganisha na dola za kimarekani.
Jina lako limenikumbusha zaidiUmenikumbusha hiyo tamthilia