Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q738
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nikuweke kwenye kichupa tena??mzee wa tukuyu si atakuja na polisi kwangu nikuachie hapa tu anasema nimekushika akili[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisa, cole nichizike nife nizikwe na wewe kabisa, binadamu mi nafahamu sijakamilika niponde kama dawa ziwe tamu kila Dakika. [emoji173]
CantstopwontStop
Mmoja wao aking'olewa meno kwa nyundo watamchangia fweza akatibiwe sauz kwa madiba kisha watarejea kaziniBreaking:Madakatari kote nchini Kongo wameendeleza mgomo wao ambapo hivi sasa hakuna hata huduma ya dharura. Wauguzi pekee ndio wameonekana kwenye hospitali za umma ambazo hazipokei tena wagonjwa wapya. Hali hiyo imeasababisha vifo vya zaidi ya watu sita kwenye moja wapo ya hospitali mjini Kinshasa. Madakatari wameomba nyongeza za mishahara kufuatia kuporomoka kwa thamani ya faranga za Kongo ukilinganisha na dola za kimarekani.
Duuuh![emoji15][emoji15][emoji15]Ukiishi kusini kwa mwaka mmoja tu,ujue hata Somalia utaishi kwa amani.Niliwahi pindishwa shingo kisa nimembonda paka aliye kuwa akipita dirishani kwangu kwa mzee Said Zaid,nilipona kwa kunywa kombe
Mkuu pole sana.Umeyakagua yaliyo jirani na uliyo yang'oa?Mh! Sitii neno..
Shukranii[emoji4]Karibu tena
Eeh nakuonea??Hizi lawama zote zako mimi unanionea bure tu[emoji23] [emoji23]
Wewe tena unadhani nitashindwa kwenda kuja huko ni kazi rahisi zaidi hata ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.Ukiweza kuja porini huku basi itakuwa shangwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiishi kusini kwa mwaka mmoja tu,ujue hata Somalia utaishi kwa amani.Niliwahi pindishwa shingo kisa nimembonda paka aliye kuwa akipita dirishani kwangu kwa mzee Said Zaid,nilipona kwa kunywa kombe