[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kweli kabisa si unajua kipindi kile tulikuwa tunajifungia nani sasa toka kuwe poa huku mi kama mwenyekiti napita kila kaya kusuluhisha migogoro ya ndoa si amani tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Woyoooooo agiza fursana ya baridi naja kulipa[emoji23][emoji23]Mimi hapa najisajili kwako,waseme lingine tena
Jana nimekuja SHIMBA YA BUYENZE akasema umekimbia humu unadhani nani hakutokea.We huwezi nichomesha mahindi mimi tena hata taarifa hutoi nimezurura kukutafuta hadi basi
Jina lako limenikumbusha zaidiUmenikumbusha hiyo tamthilia
Kwema lakini?Shukranii[emoji4]
Shemeji huru[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usalama wako upo bhana we njoo kwani unafikiri mdogo ako atakufanya nini?we si shemeji au
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tension imekua kubwa halafu yule mtoto wa tandale ndo ameyataka yote haya yatokee,alidhani anamkomoa mwenzake kumbe ndo anampiga teke aangukie kwenye shimo la dhahabu
Bob 12 hujagombana na mamaa huko nije kusuluhisha maana hamna kesi iliyonishinda kama hizo[emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kazi njema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii karibu mbona ya shingo upande au hutaki?Basi njoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Maslahi yao yaangaliwe.Huduma ya afya sio ya kuchezea chezea.Nchi zote za uchumi wa kati na wa juu madaktari wanaongoza kwa mishahara.Hivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kumalizia sentensiThe need