Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4f1366cfae028411b3b62409b4679fa7.jpg
Saved
 
Jana nimekuja SHIMBA YA BUYENZE akasema umekimbia humu unadhani nani hakutokea.
Ikanibidi nizurure tu pande za kule ila niwasina issue nikapotea tu
Nilirudi humu ndo nikakuta ujumbe wako nikahangaika kukisaka tena ila nilichokikuta mtaa ule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikajua ulikuwa unabembelezwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh!ila si ujinga ujue..ufahari ya kutibu familia zenu upo sana tu ila kumbuka na wao wanafamilia zao na wanatakiwa wapewe stahiki zao,kumbuka madaktari hawafanyi kazi zile 8hrs za kawaida wanaingia call na kufanya kazi muda wa ziada na hawapumziki,kuna baadhi ya settings wanafanya kazi na huu ni mwaka wa 2 unaemda wa3 hawajapewa posho ya oncall na mshahara wwnyewe ovyo kabisa...hizo nchi ambazo si afrika wanawathamini na kuwajali ila afrika ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui nimeongea nini uuuwiiii pata like jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sawa..
 
Back
Top Bottom