Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q729
Ukiishi kusini kwa mwaka mmoja tu,ujue hata Somalia utaishi kwa amani.Niliwahi pindishwa shingo kisa nimembonda paka aliye kuwa akipita dirishani kwangu kwa mzee Said Zaid,nilipona kwa kunywa kombeTukiacha utani aisee nimesikia habari ya ngende nikashangaa sana
Ongeza jingine [emoji23][emoji23][emoji23]Hayo maneno,nililo nalo sidhani hata kama litafika saa sita.Najutaje[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Hata mimi nashangaa kwanini imekuwa hivo.....maana wimbo wenyewe binafsi haujanivutiaMana hili goma lake limekua gumzo ujue
Kweli kabisa si unajua kipindi kile tulikuwa tunajifungia nani sasa toka kuwe poa huku mi kama mwenyekiti napita kila kaya kusuluhisha migogoro ya ndoa si amani tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kichafu
Kwema?
Huko kibiti kumekupoteza sana
Ukiweza kuja porini huku basi itakuwa shangweLeo nimewahi nimeacha niliyonayo nipe mualiko kwanza ndio tuzungumze.
Hizi lawama zote zako mimi unanionea bure tu[emoji23] [emoji23]Yaani wewe si wakunifanyia matendo yale ya jana
KK yaani wewe kweli?
Ukanitenda vile jana?[emoji22][emoji22]
Kumbuka tulivyo jishusha kwa malkia,carba,hivi kweli anakuja na kauli nyepesi hivi? Au haamini kama ameruhusiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jitihada zote zile za asubuhi mzee wa ini anatoa majibu hayo??kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji83] [emoji83] [emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikiiva niite