Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fromu ze beli botomu ofu yua hati kweli mzee wa liver??? Nimehangaika kukuombea ruhusa kwa unyenyekevu kabisa mpaka malkia akakubali,tena nikamuuliza isije kuwa umekubali kwa shingo upande.Mama wa watu akasema ni ruhusa maana anakupenda sana,hataki kukukwaza.UMESEMA HAUTASIFIA ILE KITU? Sema,ISIS hatakusikia kwa muda huu alhamis kunakuwa na live band Karambezi,sizani kama anakosaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jitihada zote zile za asubuhi mzee wa ini anatoa majibu hayo??kweli
 
Back
Top Bottom