[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Likes
Kazia[emoji123] kazia[emoji123] kama super glueWeee halafu mie sina mpango wa kuachika basi km ulikuwa hujui. Hapa ndio nshafika na kituo nimeweka. Km una mpango wa kuniacha, hilo sahau kbs.
Mchina
Jiepushe na wake wa jirani zako[emoji3] [emoji3]Hee?
yani wamekwambia wamenipa busha na limeliwa na mamba na umefurahi
dah,kazi ninayo
Pole sana jirani Mungu akufanyie wepesi upone harakawakuu salaam
nimetoka kung'oa meno mawili yalikuwa yametoboka..asubuhi nilikuwa na maumivu makali sana. muda huu angalau naweza kutuma msg..maombi yenu muhimu sana
Asante sana..Pole sana mkuu.
Safi sana shemeji, naahidi kukufanyia hii kazi kwa uaminifu kbs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Maombi yote yanapitia kwa shemu wangu nsamaka
Umeongea kwa hisia,pole sanaAdui zangu mmejiinua sana.Haya zitendeeni nafsi zenu zitakavyo,hamuwezi niacha nikapumzika? Huyu anisukume,huku nisumbuliwe,wewe unifadhaishe,nitakuwa mtu wa aina gani kuhimili mtikisiko huo? Sema tu vyau kweli ukweli... Kuna haja...nisilaumiwe...naenda...
Viv yuko[emoji123] kabisaKwema kabisa viv hajambo
Hii mikwara mizito mizito kulikoniHuyu mpwani anatuzingua tu,yaani hakipendi anacho keshea kukitafuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]