andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Sitaki maswali yako,wewe ni mharibifu sana.Mbona unaonekana ni kijana mpole na mnyenyekevu na mshika dini ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa nini?
Kwanini lakini?
Sitaki maswali yako,wewe ni mharibifu sana.Mbona unaonekana ni kijana mpole na mnyenyekevu na mshika dini ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa nini?
Niipo bob...si unajua siku azilingani[emoji6]Asante[emoji4] [emoji4]
Umekua hadimu sana leo
HahahahahaGudi kwamba hakutakuwa na tatizo lolote na hauta mjoboa mzee wa liver pale atakapoona neema za...nikineng'eneka humu.
Mzee wa liver kusifia misambwanda ruksaaaaaaaa "amesema malkia"[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado eti halijampata hahaa
Weee halafu mie sina mpango wa kuachika basi km ulikuwa hujui. Hapa ndio nshafika na kituo nimeweka. Km una mpango wa kuniacha, hilo sahau kbs.Sitaki maswali yako,wewe ni mharibifu sana.Mbona unaonekana ni kijana mpole na mnyenyekevu na mshika dini ?
Kwanini lakini?
Jambo la heri kabisa kiongoziMi duingi faini kwa kweli
Kwema kabisa viv hajamboFine thank you[emoji4]
Kwema?
Haya malalamiko ni ya kweli?
HahahahahaMpe mtu Roho yake anacho kipenda!
No problem at all!
Hahahaha
Kwahiyo ndo mana unamtesa mwenzio??[emoji47][emoji47][emoji47]Weee halafu mie sina mpango wa kuachika basi km ulikuwa hujui. Hapa ndio nshafika na kituo nimeweka. Km una mpango wa kuniacha, hilo sahau kbs.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Buana wala mie sina mpango wa kuachika, yy aendelee tu na michepuko ila mie humu ndani sibanduki.
Pole sana bro. Mwenyezi mungu akuponye kwa uwezo wake. hata hivyo ukamuone daktari wa meno ili aangalie uwezekano wa kukuponya na tatizo la kutoboka ili uyaokoe yaliyobaki kuepukana na tatizo kuyang'oawakuu salaam
nimetoka kung'oa meno mawili yalikuwa yametoboka..asubuhi nilikuwa na maumivu makali sana. muda huu angalau naweza kutuma msg..maombi yenu muhimu sana
HahahahahaNi lenyewe kweli hili[emoji35] [emoji35] [emoji35] sio mnaweka vitu fake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakuangalia tu na hiyo mipango yako.[emoji124] [emoji124] tangu tuoanee,hata mwezi badoo...
Wametupachika majina,
Mimi Pwagu yeye Pwaguzi
Sababu imekuwa mazoeaa...
Hajulikani ni nani mume ndani ya nyumba eee..[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji445]
Adui zangu mmejiinua sana.Haya zitendeeni nafsi zenu zitakavyo,hamuwezi niacha nikapumzika? Huyu anisukume,huku nisumbuliwe,wewe unifadhaishe,nitakuwa mtu wa aina gani kuhimili mtikisiko huo? Sema tu vyau kweli ukweli... Kuna haja...nisilaumiwe...naenda...Acha ivunjike, mtu gani umejaza michepuko kila kichochoro[emoji3] [emoji3] unafanya akose raha ya ndoa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app