mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mchina
Mchina
Kuna kipind huwa naumwa,nakua vibaya mno ila huu uzi ndo tiba ya kutojisikia vibaya zaidiAsante sana..
Cole wanguNaona Maelewano yalioje hapa kwenye uzi wa likes
CantstopwontStop
Asante jirani..nagonga likes huku nasikilizia maumivuPole sana jirani Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Pamoja mkuuJambo la heri kabisa kiongozi
Insha'allah kheri basi...Viv yuko[emoji123] kabisa
Kesho mapema nakula nae dinner inshallah Mungu akinitoa huku msumbiji salama
Hata wewe sidhani kama unavijua vituko vya ngendeunapajua ngende?
Avatar inanisababishia njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipind huwa naumwa,nakua vibaya mno ila huu uzi ndo tiba ya kutojisikia vibaya zaidi
Adui zangu mmejiinua sana.Haya zitendeeni nafsi zenu zitakavyo,hamuwezi niacha nikapumzika? Huyu anisukume,huku nisumbuliwe,wewe unifadhaishe,nitakuwa mtu wa aina gani kuhimili mtikisiko huo? Sema tu vyau kweli ukweli... Kuna haja...nisilaumiwe...naenda...
ya kuona dokta kajazia. Pole sana kwa kuumwa mkuuMwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jee ulifanikiwa kuvulishwa nguo zote na kubakia mtupu, kisha ukae kitako kwenye fenesi kwa masaa mawili?unapajua ngende?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Weeee shindwa kbs, ugumu wake nn? Ukiwepo ndani unanichekea halafu ukija huku unanisema.