Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha
My love Mimi pekee ndio najua uko vipi Shimba Jana alichokonoa ana taka photo yako nimesema no
Misambano sijui nini haina nafasi kwangu
Fromu ze beli botomu ofu yua hati kweli mzee wa liver??? Nimehangaika kukuombea ruhusa kwa unyenyekevu kabisa mpaka malkia akakubali,tena nikamuuliza isije kuwa umekubali kwa shingo upande.Mama wa watu akasema ni ruhusa maana anakupenda sana,hataki kukukwaza.UMESEMA HAUTASIFIA ILE KITU? Sema,ISIS hatakusikia kwa muda huu alhamis kunakuwa na live band Karambezi,sizani kama anakosaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umuhimu wa lishe bora
Lishe bora ni muhimu katika mambo yafuatayo

• Utoaji nishati ili kuishi, uwepo wa mwendo, utendaji kazi, na joto.
• Ukuaji, uendeleaji, ujengaji mwli, urejeshaji na utengenezaji wa seli na mikusanyika ya seli hizo (tishu)
• Ufanyaji michakato ya kikemia kama vile uyeyushaji chakula, umetaboli na utunzaji mwili.
• Kinga dhidi ya magonjwa, upigaji vita maambukizi na uponaji magonjwa.
• Ili afya njema iweze kudumishwa, mlo wa kila siku lazima ukamilishe shughuli nne zilizotajwa hapo awali. Vyakula vinavyokamilisha moja au zaidi ya shughuli tatu huitwa virutubishi.
 
Back
Top Bottom