Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Carba nina team mimi??hebu waje niwaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha hiyo tamthiliaThe gardener's daughter
AMUN RAAMUN RA
MmmhhhhhNjoo nikufariji basi mana nina jibapa hapa la kusogeza usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
Amin..nimepata ushauri na kuziba mengine. Mungu atupe afya kuamkia EidPole sana bro. Mwenyezi mungu akuponye kwa uwezo wake. hata hivyo ukamuone daktari wa meno ili aangalie uwezekano wa kukuponya na tatizo la kutoboka ili uyaokoe yaliyobaki kuepukana na tatizo kuyang'oa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Angalia kiba asikuseduce[emoji41]Nipo nacheza hapa
Usalama wako upo bhana we njoo kwani unafikiri mdogo ako atakufanya nini?we si shemeji auNihakikishie usalama wangu.
Hahaha