Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DIcRDu1VwAABwt9.jpg
 
Mwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Vipi amezicheki na hizo ning'ina mbili? Ni muhimu ujue! [emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji bhana kwahiyo physical examination umetoa ushirikiano mzuri eeh!
Pole shem Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Vipi koronije uliwasiliana nao?hali ya mama vipi?
We acha tu shemeji. Mpaka nimetamani fiziko iendelee tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wa kike, kwa kawaida, huwa na wagonjwa wenye afya na ni bora kuliko wenzao wa kiume. Pengine ni ile huruma ya umama, upole na upendo. Nakuombea sana...

Mungu tayari ameshanifanyia wepesi. Na Koromije mama ana ahueni sana. Asante sana shemeji...
53ba2e2f4b9fe19d439218a969c1496e.jpg
 
Ugonjwa wa kichomi✔
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
1. Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
 
2. Umeinama au umelala
3. Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana?
 
Back
Top Bottom