Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunakuwa bize sana katika kazi tunazofanya kiasi kwamba hata kula tunasahau au tunakula mlo ambao sio stahiki kutokana na ubize… Utakuta siku nzima kuazia asubuhi mpaka usiku mtu katumia tu wanga na siku zote mwendelezo ndio huo…..asubuhi chai na mkate/chapati/maandazi/nk mchana unapiga ugali na jioni/usiku unakula wali/ubwabwa…kwa hali hii ni lazima mwili uharibike.
 
Ni bora kula matunda mengi kama ‘maembe, ndizimbivu, papai, pera, chungwa, ubuyu, nanasi, pesheni, zambarau” na mbogamboga kama vile “mchicha, majani ya mboga, karoti, nyanya chungu, nyanya, mkunde, biringanya” mara tano kwa siku.
 
Mwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Broo bhana Ruka nae kisamaki tu kama viph (jokes)

CantstopwontStop
 
Kila siku unatumia wanga/carbohydrate ndipo linapokuja suala la kunenepeana na kuwa na uzito ambao sio na kuutesa mwili.

Na pia kutokana na ubize tulio nao ndio unapelekea tunashindwa kula vizuri ila kuna virutubisho ambavyo waweza kutumia kila siku vikakusaidia kupata aina za vyakula vyote vinavyotakiwa mwilini hata kama unakuwa bize masaa 24 kila siku.
 
Mwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu sipendi kukupa pole,ehee una maanisha anako ka haja eee? Ndugu yangu una bahati weweeee!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umwa tena kesho ili ukamdeku vizuri...ndio raha ya kuumwa hiyo...tena mimi ningesema naumwa moyo kwa nje ili anishike kifuani na maumivu ya kitovu ili akikague[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Pole sana mkuu,naamini haifiki kesho utakuwa umepona
 
Kumbuka ulaji mbaya/mbovu utakusababishia madhara mengi katika huo mwili wako…tujitahidi kula vizuri ili kuuridhisha mwili na tuweze kuepukana na haya madhara.

Kumbuka mwili wako ni zaidi ya ulivyo na pia ni matokeo ya ulaji
 
Back
Top Bottom