Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengine wazuri kiasi ila wewe ndio my Queen, my first last and everything in between
C

CantstopwontStop
Image-9099.png
 
umri
mambo ya kurithi
aina halisi ya maisha.
jinsia
uvutaji Wa sigara.
kisukari
lishe

Pia Kwa mwili wa mwanadamu kuna kolestro (mafuta) nzuri na mbaya
Kolestro nzuri inahitajika sana mwilini na mbaya haihitajiki mwilini.
Hizi ni Bidhaa ambazo ukizitumia zitakusaidia kuimarisha vizuri afya yako ya Moyo na kukuweka katika nafasi nzuri ya kutoweza kupata madhara yoyote yatakayopelekea Moyo kushindwa kufanya kazi yake.
 
Mkuu sipendi kukupa pole,ehee una maanisha anako ka haja eee? Ndugu yangu una bahati weweeee!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umwa tena kesho ili ukamdeku vizuri...ndio raha ya kuumwa hiyo...tena mimi ningesema naumwa moyo kwa nje ili anishike kifuani na maumivu ya kitovu ili akikague[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Pole sana mkuu,naamini haifiki kesho utakuwa umepona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka kwa nguvu ujue uumwe ka moyo akushike kifua[emoji23][emoji23][emoji23]ila awe na mikono milaini ufaidi vizuri[emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom