Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ugonjwa wa kichomi[emoji818]
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
1. Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
Somo hili la moyo ni muhimu sana na ningeomba wafakamia milonge wote walifuatilie kwa uangalifu sana. Kuna watu mkicheza mpira tu kidogo tayari kichomi halafu naye unamkuta kimbele mbele anaulizia milonge. Chunguza kwanza moyo wako azawaisi utazimika laivu siku moja watu waanze kukusifia eti umefia kazini....
 
LISHE BORA KWA WATU WENYE AFYA NZURI✔
• Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka.
 
72981400e805908ae9a4aaddf017f5d1.jpg
Acha utani undercover wa CIA
 
We acha tu shemeji. Mpaka nimetamani fiziko iendelee tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wa kike, kwa kawaida, huwa na wagonjwa wenye afya na ni bora kuliko wenzao wa kiume. Pengine ni ile huruma ya umama, upole na upendo. Nakuombea sana...

Mungu tayari ameshanifanyia wepesi. Na Koromije mama ana ahueni sana. Asante sana shemeji...
53ba2e2f4b9fe19d439218a969c1496e.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana shem
Asante kwa maombi[emoji120][emoji120]
 
Ni bora kula matunda mengi kama ‘maembe, ndizimbivu, papai, pera, chungwa, ubuyu, nanasi, pesheni, zambarau” na mbogamboga kama vile “mchicha, majani ya mboga, karoti, nyanya chungu, nyanya, mkunde, biringanya” mara tano kwa siku.
 
Back
Top Bottom