Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q684
Kweli..Changanya Akili ya kuelezwa na unacho kifahamu vyema
CantstopwontStop
HahahahahaSikuweza
alichonifanyia carba
she must pay the price
AiseeA horror movie can burn nearly 200 calories in 90 minutes.
Andaa vizuri kabisaYangu macho (na masikio pia !!!) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mm na haka ka mwili kangu naweza kumtesa mtu kama andjul na huo ubonge wake hahahaKwahiyo ndo mana unamtesa mwenzio??[emoji47][emoji47][emoji47]
HahahahahaBushaaaa??
siyo kwa jinsi nilivyojipanga huku ngende
hebu angalia watu kama watatu pamoja na mchina wa 4 wanapambana na mtu mmoja na bado wanadunda
-Petrol tank 5 zote za litre 3000 kila moja
-hapa naongea na korea ya kaskazini waniletee zile missile zao
-Kamanda cole ananiandalia AK-47,M240 Machine Gun,PK Machine Gun,QBZ-95 Assault Rifle.
-Halafu nimeshatoka ngende liwale
Tafadhali wambie hao jamaa wasijaribu kabisa kumchokoza baba viv
We kijana hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umevunja zizi la watu ila jiandae kupambana na shemeji yako na uandae ng'ombe za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nsamaka kesho anatangaza nafasi
Jmosi anafanya interview na jpili viv anapata mama[emoji4]
Safi Mkuu
Kiufupi siachikiAdui zangu mmejiinua sana.Haya zitendeeni nafsi zenu zitakavyo,hamuwezi niacha nikapumzika? Huyu anisukume,huku nisumbuliwe,wewe unifadhaishe,nitakuwa mtu wa aina gani kuhimili mtikisiko huo? Sema tu vyau kweli ukweli... Kuna haja...nisilaumiwe...naenda...
Na Mimi nayaona..Naona Maelewano yalioje hapa kwenye uzi wa likes
CantstopwontStop
[emoji817] Hakika baba vivHata mie naona cha msingi uzima tu
Mkuu Mkuu
Hahaha hawezi kuniseduceAngalia kiba asikuseduce[emoji41]