Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weeeee, nimesha pitia.Jana nilisema humu,moudgulf na yeye ni mpenda misambwanda, nimeona alivyokuwa anashangilia kila picha usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo tusilaumiane kabisa
Jamaa yangu habari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani yangu mi siyo mpenzi wa mizigo, yuko wapi jirani na rafiki yangu mpenzi nsamaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hii uliionaView attachment 578487
Ila hii picha imenihuzunisha sana
-I have a huge respect on this old man kwa alichoifanyia arsenal na football ya england kwa ujumla japo kwa sasa anazingua,wanadamu rahisi sana kusahau uzuri wa mtu especially akifanya mabaya,anyway niko pamoja na mzee wangu wenger
 
Iwapo ni kijana mwili una mahitaji maalumu ili kudhamini makuzi ya kiafya wakati wa utu uzima na wakati unapoelekea kwenye uzee unahitaji kuwa na wastani wa uzito unaolingana na mwili.

Vilevile wajawazito na wale wanaonyonyesha, nao pia wana mahitaji ya vyakula vyao maalumu tofauti kabisa na wanawake wengine.
 
eb1ad24a18750ca2f7aac8fc2e18d43d
 
Iwapo ni kijana mwili una mahitaji maalumu ili kudhamini makuzi ya kiafya wakati wa utu uzima na wakati unapoelekea kwenye uzee unahitaji kuwa na wastani wa uzito unaolingana na mwili.

Vilevile wajawazito na wale wanaonyonyesha, nao pia wana mahitaji ya vyakula vyao maalumu tofauti kabisa na wanawake wengine.
 
Uchunguzi wa kitiba uliofanywa unaonyesha kuwa hali ya kiafya ya mama mjamzito huwa na athari mbalimbali kwa mtoto atakayezaliwa. Vilevile kuna ushahidi mkubwa kuwa magonjwa sugu ya watu wazima huanzia wakati mtoto bado akiwa tumboni mwa mama yake. Kwa hivyo wajawazito wanashauriwa kuzingatia vyakula wanavyokula kabla na baada ya kushika mimba.
 
Ulaji bora una umuhimu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini na kufanya mwili kupambana kirahisi na magonjwa, kujenga siha nzuri (afya bora), kuleta furaha na amani, kusaidia ukuaji wa mwili na akili, kuleta nguvu na kusaidia mwili kufanya kazi vizuri.
 
Back
Top Bottom