Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wamechoka na mambo ya huyu mzee...sijui mwenyewe akiona hivi anajisikiaje kwakweli
tapatalk_1503851648448.jpeg
 
Sio tayari ashapata busha????
Bushaaaa??
siyo kwa jinsi nilivyojipanga huku ngende
hebu angalia watu kama watatu pamoja na mchina wa 4 wanapambana na mtu mmoja na bado wanadunda
-Petrol tank 5 zote za litre 3000 kila moja
-hapa naongea na korea ya kaskazini waniletee zile missile zao
-Kamanda cole ananiandalia AK-47,M240 Machine Gun,PK Machine Gun,QBZ-95 Assault Rifle.
-Halafu nimeshatoka ngende liwale
Tafadhali wambie hao jamaa wasijaribu kabisa kumchokoza baba viv
 
Back
Top Bottom