Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe jamaa umepotea kijiwe hii jamii forums sio ya baba yako au ya CCM unaelewa maana chit chat?? @ Invisible pigeni BAN hilo nyumbu la CCM kwa uchizi anaoufanya
Kijana huu ni uzi maalum wa kupokea na kugawa like...badala ya kupoteza muda kulialia ulitakiwa kutoa like..uzi unatoa maelekezo ya kufanya lolote upewe like..hhahahhhahaha mimi nimekupa like kwa uliyo yaandika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…