Mwenyewe nashangaa mana me sina teamNa wrwe Unateam???
We utakuwa kama wenger tu
Wake za watu.Mkuu mi ni mtoa ushauri tu na msuluhishi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwiileee!!!!!Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisa, cole nichizike nife nizikwe na wewe kabisa, binadamu mi nafahamu sijakamilika niponde kama dawa ziwe tamu kila Dakika. [emoji173]
CantstopwontStop
[emoji23][emoji23][emoji23]Bob bhanaTena nakutumia blank check[emoji4] [emoji41]
Kama wewe eeehMzee anakichwa kibaya huyo[emoji23] [emoji23]
Si kichwa kichafu yule ni kichwa kibaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shida Jana ulisema uko na chura watu walihofuHahahah
napenda kukuhakikishia kuwa hali yangu ya kiusalama ni 100%,nipo na ulinzi wa kutosha
Umeme ulikatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unachaji kama Jana ulivyocharge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me sijui etDuuuh!
Huo mkono wa birika au wakikombe kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]