Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakuombea usije pitia hiyo njia.Inaumiza sana,kumbuka ni watu wengi hupoteza maisha.Yule ndugu yake hatakusamehe kamwe... Nimedhurumiwa mara nyingi penye haki yangu,ila naogopa kuchukua hatua kisa wale walio nyuma yake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tulia kamanda huyu wife wako kuna kitu kajichanganya bila kujua kua humu kuna genius people
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bob mbona umenishikilia hivyo??me sijajichanganya nilikuwa naongea tu hujaona hapo mwisho nimesema sijui hata naongea nini??
Halafu sijakubali wala kukataa hoja yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama kucheka ni kuongeza siku basi leo nimeongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…