Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
We ulienda kukimbiza mwizi au ulienda kupata ubuyu nini ameibiwa huyo jirani?Kuna mwizi alikuwa anataka kuiba kwa jirani nikaenda kumkimbiza nimesharudi sasa
Eeeh KK mimi nikitende wewe kweli??naanzaje kwa mfano
Nani huwa hali chips humu?
[emoji23][emoji23][emoji23]kukimbiza mwizi bhanaWe ulienda kukimbiza mwizi au ulienda kupata ubuyu nini ameibiwa huyo jirani?
Bado tupo[emoji38][emoji38]Aisee... Kweli hii ni wanga time! Bado upo? [emoji3][emoji3]
Unanitamanisha ujue[emoji39][emoji39][emoji39]
Menu ya sikukuu,usisahau kula leo mchana hii kituUnanitamanisha ujue[emoji39][emoji39][emoji39]