carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yule jamaa noma[emoji23][emoji23]Numbisa ndio aliachiwa uenyekiti na yule wa kujifanyia interview
We nae andaeitini uko akitivu eeeh
Hebu niache weye[emoji22] [emoji22] [emoji22]Utaota vitu vya ajabu wewe usilale[emoji23][emoji23]
Hata weekend sina faida nazo kwakweli[emoji34][emoji34][emoji34]Umeona eeeh? Bora zibaki wkend tu.
Mkuu ni East African Standard Time (EAT)
Namshukuru Mungu kwakweliNafuu ..kwako je
Nimepata kwa nsamaka ila kufika huko labda unisindikize maana kuna mzee hukoMualiko umepata?[emoji28][emoji28]
05:5004:50
We inakuhusu nnUnachunga mzigo gizani[emoji23][emoji23][emoji23]we noma
Aiseeh!acha zifutwe tu mana sina faida nazo tena kama vipi watoe hata weekends[emoji34][emoji34][emoji34]Sikuku zifutwe eeh, njoo huku kijijini kwetu ujinome! Sikuku ya kidini ambayo watu hawaendi job ni moja tu, Christmas! Hizo zingine unaweza usijue kama leo ni sikuku! [emoji3]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Yule jamaa noma[emoji23][emoji23]
Nakuona mahudhurio yako pia si mabaya.Habari nsamaka vipi mambo. Nalinda uzi na mimi dhidi ya haters LOL!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]wali au pilau[emoji23][emoji23]We zifutwe?????
Siku wengine ndio tunakula wali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mwayaMungu atakulipa kwa moyo wako kwakweli