Usijali, kuna wahenga humu wanakimbia nao balaa.Najitahidi nsamaka katika kuukimbiza huu uzi mama wa JamiiForums ingawaje siku mbili tatu speed yangu ilikuwa ndogo.
Naimani akija atakuwa amepona leo..sema alikuja mida flani hivi ila hakukaaDah kwkaweli shimba asipopata nafuu, basi atakuwa na ugonjwa sugu.
Heheheh we jipe moyo tu, kitakachokukuta utakuja kutusimulia hapa.Nadhani huwa wanamaanisha wale wa mashineni! [emoji3]
[emoji13][emoji13][emoji13]sema tu ukweli bando la usingizi liliisha[emoji23][emoji23]Huyu mwanamke si mzuri kakimbia na usingizi wangu kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao labda ni nyuki wa mashine[emoji28][emoji28]Wanasema eti fuata nyuki ule asali!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji13][emoji13]sema tu ukweli bando la usingizi liliisha[emoji23][emoji23]
Dogo unazingua ujue[emoji23][emoji23]Hebu niache weye[emoji22] [emoji22] [emoji22]
6:0205:50
Aaah jamani, mbona tumekubaliana kutangaza kwa utaratibu maalum kbs.Kumbe wewe ndo unamsaidia kuvunja mazizi ya watu eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mzee hana shida tatizo ni huyo mamaNimepata kwa nsamaka ila kufika huko labda unisindikize maana kuna mzee huko
Namuonea huruma mzee wa watu mana unamtesa sana[emoji23][emoji23]We inakuhusu nn
Lala urefuke sawa eeh[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Acha nilale jamani
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Acha nilale jamani
Watu wanapeana shift km wako kazini, kuna wa night, asb na mchana. Huu uzi haupumzikiNi kweli nsamaka yaani ukipotea kwenye uzi huu kwa siku chache tu unakuta more than 100 pages zimeongezeka! Si kawaida hata kidogo.
Lala urefuke sawa eeh